Waziri Mgufuli akagua ujenzi wa nyumba 851 za serikali zinazojengwa...
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ukaguzi wa ujenzi wa nyumba za Serikali zipatazo 851 zilizopo katika eneo la Mabwepande, Kinondoni,jijini Dar es Salaam zinazosimamiwa na Wakala...
View ArticleCHADEMA wamvaa Rais Kikwete , Wampa siku 3 za kuifuta kauli yake....Nape...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku tatu Rais Jakaya Kikwete awe amefuta kauli yake aliyoitoa Februari 15 mwaka huu, mjini Dodoma baada ya kufunga Kikao cha Halmashauri Kuu ya...
View ArticleBaby Madaha atangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa...
IKIWA imepita miezi kadhaa tangu anaswe katika mtego wa kujiuza, staa wa Bongo, Baby Madaha ametangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha ya presha....
View ArticleJuma Nature Akana Madai ya Kumponda Diamond kwenye Nyimbo yake Mpya…Adai...
Hatimaye Juma Nature, amezungumzia utata ulioibuka kwenye wimbo wake mpya Kama Jana, unaohusiana na kama kweli amemdiss Diamond. Akiongea na kipindi cha Showtime Next Chapter, Juma Nature aka...
View ArticleVideo ya Nape akisimulia UNYAMA wa CHADEMA ulioilazimisha CCM iwatangazie...
Hii ni Video fupi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Bw. Nape Nnauye akisimulia unyama na ukatili unaofanywa na chama pinzani cha CHADEMA kiasi cha kuilazimu CCM nayo...
View ArticleMkuu wa IGP Ernest Mangu na Chagonja wakemea uhalifu na mauaji...
Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi, Moshi. Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa...
View ArticleAjali mbaya: Lori la mafuta ladondoka mlima Sekenke na kuua watu wanne papo hapo
LORI la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani Singida na kuua watu wanne papohapo. Chanzo cha ajali hiyo ni kufeli breki lori hilo kukamata moto wakati lilipokuwa...
View ArticleTaarifa ya serikali kuhusu baraza la maaskofu wa kipentekoste Tanzania...
TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA (PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba...
View ArticleFacebook yanunua application ya 'WhatsApp' kwa jumla ya dola bilioni 19
Facebook wanazidi kujitanua zaidi kibiashara katika ulimwengu huu wa dijiti ambapo wameweza kufanya makubalino na waanzilishi wa ‘WhatsApp’, Jan Koum na Brian Acton kuinunua kwa makubaliano ya jumla...
View ArticleMtandao mkubwa wa wizi wa fedha za serikali katika wizara ya fedha....Ni...
Ugumu uliopo hapa ni kwamba haijulikani kama fedha hizo zilizopotea zilitokana na kodi za wananchi au wafadhili ambao walichangia Sh842 bilioni katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/13. Tangu gazeti...
View ArticleCHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM kalenga ikidai kuwa si raia wa...
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CHADEMA, Grace Tendega, amemuwekea pingamizi mgombea mwenzake kupitia CCM, Godfrey Mgimwa, kwa kile kinachodaiwa kuwa si raia wa Tanzania. Tendega alichukua...
View ArticleWabunge waikataa posho ya sh 300,000 kwa siku....Wanadai eti ni ndogo sana na...
WAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai...
View ArticleOmbi la kesi ya Sheikh Ponda kusikilizwa Februari 26 mwaka huu....
Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imesema itasikiliza maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es...
View ArticleBunge la Katiba: Wadau walaumu mume na mkewe kuteuliwa kukiwakilisha...
Habari kwa mujibu wa gazeti la MWANANCHI — Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho...
View ArticleWatoto mapacha waliopelekwa kutenganishwa nchini India warejea jijini Dar
Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania...
View ArticleFamilia ya watu watatu yahamishia makazi yake chooni
FAMILIA ya watu watatu akiwemo mtoto wa umri wa miaka saba imelazimika kuhamishia makazi chooni baada ya paa la nyumba waliyokuwa wakiishi kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha wiki...
View ArticleBaada ya wabunge kuikataa posho ya sh. 300,000 kwa siku, Mwenyekiti ameamua...
Suala la posho limezidi kuwa kaa la moto katika vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma leo, hali iliyomlazimu mwenyekiti wa muda, Pandu Ameir Kificho ateue timu maalum ya watu 6 kutazama...
View ArticleUganda yapiga marufuku vimini, vitopu na mavazi mengine ya nusu...
RAIS Yoweri Museveni amesaini sheria ambayo inaharamisha mavazi yasiyo ya heshima na picha za utupu. Pia, wanawake wamepigwa marufuku kuvaa nguo fupi - vimini na blauzi fupi – vitopu, ambavyo...
View ArticleBaada ya CHADEMA kuweka pingamizi, CCM yamwaga VIELELEZO Kuthibitisha kuwa...
Bw. Godfrey Mgimwa akiwa ameshika Passport yake aliyokuwa akiwaonesha waandishi wa habari leo katika ofisi kuu za CCM mkoa wa Iringa alipokutana na waandishi wa habari *** Chama cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleUmoja wa Mataifa waiomba Tanzania kupeleka wanajeshi ( JWTZ ) Sudan Kusini...
Serikali inatarajia kupeleka kikosi kimoja cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Sudan Kusini kwa ajili ya kulinda amani kutokana na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea. Waziri wa Mambo...
View Article