Ugumu uliopo hapa ni kwamba haijulikani kama fedha hizo zilizopotea
zilitokana na kodi za wananchi au wafadhili ambao walichangia Sh842
bilioni katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/13.
Tangu gazeti la The Citizen lichapishe
mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya
Fedha, Serikali imekaa kimya kama vile wizi huo ni tukio la kawaida,
hivyo halihitaji
↧