Facebook wanazidi kujitanua zaidi kibiashara katika
ulimwengu huu wa dijiti ambapo wameweza kufanya makubalino na
waanzilishi wa ‘WhatsApp’, Jan Koum na Brian Acton kuinunua kwa
makubaliano ya jumla ya dola bilioni 19 pamoja na hisa.
Mwanzilisihi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa walianza
kuzungumzia hatua hiyo siku 11 zilizopita ili waweze kuimiliki WhatsApp
ambayo hivi sasa
↧