TICTS yatajwa kuwa chanzo cha matatizo kwa wafanyabiashara bandari ya Dar
Na Kidawa Hamza, DarKushindwa kujiendesha kwa ufanisi kwa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) kumesababisha msongamano wa makasha hayo bandari ya Dar es Salaam na kuathiri shughuli muhimu...
View ArticleRais Samia Akutana Na Kuzungumza Na Rais Wa Burundi Ndayishimiye Ikulu Jijini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili...
View ArticleWaziri Mkuu Akagua Maandalizi Ya Siku Ya Mashujaa Dodoma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa, yatakayofanyika kitaifa Julai 25, 2022 Mkoani Dodoma.Amesema hayo...
View ArticleSerikali Yatoa Maelekezo Hatua Ya Kudhibiti Ajali Barabarani
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani imetoa maelekezo yatayosaidia kudhibiti ajali za barabarani nchini. Serikali imesema kuwa hairidhishwi na...
View ArticleUmmy Azindua Bodi Ya Wadhamini MSD
WAZIRI wa Afya, Mhe.Ummy Mwalimu Julai 25,2022 amezindua Bodi Mpya ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) ambapo ameiagiza kuhakikisha inaendelea kufanya kazi kwa weledi.Akizungumza wakati akizindua...
View ArticleAjali Yaua Watu 10 Mtwara
Watu kumi wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotolea mapema hii leo katika eneo la Mjimwema manispaa ya Mtwara – Mikindani mkoani Mtwara.Taarifa za awali kutoka mkoani Mtwara zinaeleza kuwa...
View ArticleTamko La Serikali Kuhusu Tishio La Mgomo Wa Madereva
Ndugu Wanahabari; Kama mnavyokumbuka mnamo tarehe 22 Julai, 2022 Serikali ilitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu hatua zilizochukuliwa katika kushughulikia Hoja na Malalamiko yaliyowasilishwa na...
View ArticleMajeshi ya Ukraine yashambulia daraja la kimkakati litumiwalo na Urusi
Jeshi la Ukraine limefanya mashambulizi katika daraja moja la kimkakati linalotumiwa na Urusi kwa ajili ya kuyasambazia majeshi yake yaliyoko kusini mwa nchi hiyo silaha. Haya yamefanyika wakati ambapo...
View ArticleDkt. Magembe Atoa Siku Mbili Kuwasilisha Taarifa Ya Ukaguzi Wa Bidhaa Za Tiba
OR - TAMISEMINaibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Grace Magembe ametoa siku mbili kwa Mganga Mkuu wa hospitali ya Mtwara kuwasilisha taarifa ya ukaguzi wa...
View ArticleTanzania Na Kituo Cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC ) Kuendelea...
Na. WAF Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa...
View ArticleWizara Ya Maliasili Na Utalii Kuboresha Kanuni Za Uwindaji
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa imepokea maoni yatakayosaidia kuboresha mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Wenyeji nchini kupitia mifumo ya Kisheria iliyopo.Akifungua kikao...
View ArticleTECNO CAMON 19 Pro Yaongoza..... Yaishinda Vikali Infinix Note 12 VIP Katika...
Mapema Julai, Kampuni ya Simu ya TECNO ilitangaza uzinduzi wa simu yake ya CAMON 19 iliyo na ubunifu wa picha kali za usiku kwa camera yake ya 64MP, bezel nyembamba ya 0.98mm na vipengele vingine vya...
View ArticleMalalamiko ya TUCTA yawasilishwa serikalini
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA), limewasilisha rasmi serikalini malalamiko yake ya kutoridhishwa na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma.Malalamiko.hayo yamewasilishwa...
View ArticleTanzania Ni Mwenyekiti Na Mwenyeji Wa Mkutano Wa Tatu Wa Dharura Wa Baraza La...
Na Mwandishi wetu - ArushaTanzania Kama mwenyekiti na mwenyeji wa mkutano wa tatu wa dharura wa baraza la mawaziri wa nchi zinazozalisha almasi (ADPA) itakuwa na mkutano wa baraza la mawaziri kesho...
View ArticleWaziri Mkuu Atoa Agizo Kwa Wakuu Wa Mikoa Ya Mipakani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa iliyopo mipakani watekeleze maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya ufuatiliaji wa watu waliounda vikundi visivyo rasmi...
View ArticleAsilimia 97 Ya Watoto Wanaozaliwa Hunyonyeshwa Maziwa Ya Mama
Na.Catherine Sungura,IkungiAsilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama, ikiwa asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea.Hayo yamebainishwa leo na...
View ArticleMnadhimu Mkuu Wa Jwtz Ajitambulisha Kwa Rais Dk.hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali Salum Haji Othman,alipofika Ikulu...
View ArticleKesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake 83 badala yake shauri hilo litasikilizwa na Hakimu...
View Article