WAARABU WATATU WALIOHUSISHWA NA MLIPUKO WA BOMU KANISANI WAMEACHIWA HURU
Raia watatu wa UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko wa Bomu huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa nchini mwao... Taarifa zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki...
View ArticleMAJINA YA WATUHUMIWA WALIOACHIWA HURU PAMOJA NA RIPOTI YA POLISI KUHUSU BOMU...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013 Ndugu wanahabari,...
View ArticleHEMED PHD ANUSURIKA KUTANDIKWA MAKOFI JUKWAANI NA MREMBO ALIYEMTOMASA NA...
Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray...
View ArticleREGINALD MENGI ATANGAZA DAU LA MILIONI MOJA KWA MTU ATAYEMTUMIA TWEET NZURI
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa...
View ArticleIKULU YAMJIBU DR. SLAA KUHUSU KASHFA YA UDINI WA RAISI KIKWETE ALIZOZITOA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mheshimiwa Wilbroad Slaa, leo, Jumatatu, Mei 13, 2013, amekaririwa na gazeti moja akidai kuwa Rais wa Jamhuri...
View ArticleMTUHUMIWA NAMBA MOJA WA BOMU LA ARUSHA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI LEO NA KUSOMEWA...
Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji...
View ArticleVIDEO: RIPOTI YA POLISI YATOFAUTIANA NA RIPOTI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA...
--->KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA LIBERATUSI SABAS – ACP ATOFAUTIANA NA TAARIFA YA AWALI YA MKUU WA MKOA. --->WAGENI WAACHIWA KWA KUKOSA USHAHIDI ,WATANZANIA WASOTA RUMANDE. --->...
View ArticleFLORA BAHATI LYMO NI MWANAMKE ANAYEDAI KUBAKWA NA MBUNGE WA TANZANIA
BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda kuwa amembaka... Katika uchunguzi wake, hivi karibuni...
View ArticleWENYE MABASI WATAKA NAULI IPANDE TENA
BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46 iliyoongezwa katika nauli haitoshi. Wamiliki hao wameyasema hayo ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu kuanza kutumika kwa nauli...
View ArticleWALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU..... UONGOZI...
CHUO Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) kimekanusha madai kwamba wanafunzi wake ni makahaba wanaofanya vitendo vya ngono na mbwa. Kwenye barua ya kukana dai hilo iliyopelekwa kwenye vyombo vya...
View ArticleUPDATE: WANAFUNZI WA SHULE YA MANZESE WAKUMBWA NA "POPO BAWA"....30...
Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza...
View ArticleZITTO KABWE APIGWA KIBUTI LIVE MTANDAONI NA DEMU WAKE ( LOVENESS DIVA)
Waswahili husema ..."Mapenzi ni UCHIZI"... Hili ndo tunalolishuhudia kwa Mh Zitto na Manzi wake MAPEPE ( Loveness Diva ) ambaye ameamua kumtema na kupeleka penzi lake kwa Prezzo wa...
View ArticleKASHIFA YA NGONO YALITAFUNA BUNGE LETU....WABUNGE WADAIWA KUBEBANA NA KUPEANA...
SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili wanawake, wamejazwa mimba na waheshimiwa wenzao wanaume. Awali, ulitawala uvumi kuwa mmoja...
View ArticlePICHA 5 ZA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOVAMIWA NA MASHETANI LEO ASUBUHI
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wamevamiwa na mashetani na kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea maneno yasiyoeleweka na...
View ArticleGODBLESS LEMA ASAKWA NA POLISI WA U.K KWA KOSA LA KUMBAKA FLORA BAHATI LYMO
Leo asubuhi tuliweka habari ya mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa na mbunge..... Taarifa hiyo ilinukuliwa katika gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa...
View Article"MKITUKAZA KUNYWA VIROBA TUTAANZA KUNYWA GONGO"....WANANCHI WALIJIBU BUNGE
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam hivi karibuni. Baadhi ya wananchi...
View ArticleMAJI YAKO SHINGONI...LADY JAYDEE ATAKA KUIKIMBIA NCHI ILI KUJINASUA
Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake na kuelekea nchi jirani ya KENYA ... Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile...
View ArticleRIPOTI KUHUSU RAISI KIKWETE KUONGEZEWA MUDA WA KUKAA MADARAKANI HADI 2017
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani. Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleVIDEO YA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOKUWA WAKIDONDOSHWA NA MAPEPO JANA
Hali ya taharuki ilitokea jana katika shule ya sekondari Manzese jijini Dar es salaam baada ya zaidi ya wanafunzi 40 kupatwa na ugonjwa wa kuanguka ovyo na kusababisha kukatishwa kwa masomo na...
View ArticleKINANA AMTAKA MBUNGE WA IRINGA AMUOMBE RADHI HADHARANI, VINGINEVYO...
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Omar Kinana, kupitia kwa wanasheria wa LAW OFFICES OF ERIC S. NG'MARYO wa Moshi amemuandikia Mbunge wa Iringa Ndugu Peter Msigwa agizo la kumtaka amuombe radhi kwa...
View Article