HATIMAYE KINYWAJI CHA SODA CHAANZA KUPIGWA MARUFUKU NCHI ZA NJE
*Yakatazwa shuleni, watoto chini ya miaka 12*Sasa yabainika kuwa ina sumu inayoua taratibu*Yagundulika kupumbaza na kusababisha uteja SIKU chache baada ya gazeti la Mtanzania kuripoti madhara...
View ArticleWABUNGE WA CCM WANUSURIKA "KUTOANA MANUNDU" BAADA YA KUZINGUANA BUNGENI
WABUNGE wa CCM, jana walizua tafrani nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kukasirishwa na kitendo cha mwenzao wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy kupinga Bajeti ya Wizara ya Ujenzi wakati akichangia hotuba ya...
View ArticlePOLISI 7 WATIWA MBARONI KWA KOSA LA " KUWATIA VIJITI MATAKONI " WATUHUMIWA NA...
POLISI saba kutoka wilayani Kasulu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, iliyoanza kikao chake mjini Kigoma leo na kusomewa mashitaka ya kuua kwa kukusudia. Mbele ya Jaji Sam...
View ArticleDR. SLAA AMKIMBIA NAPE NNAUYE KATIKA OFISI ZA ITV
Katika tukio lisilo la kawaida ambapo kituo cha Matangazo cha ITV kiliandaa mjadala wa kujadili hali ya kisiasa nchini na masuala mbalimbali ya kitaifa ambapo kwa busara za watendaji wa ITV waliwaalika...
View ArticleVIDEO: WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA WAACHIWA KWA DHAMANA
VIDEO: Washukiwa wa ukahaba, wasichana 11 na mzungu kutoka Uswizi, wameachiliwa kwa dhamana. Wasichana hao walibambwa wakifanya ngono na mbwa.<!-- adsense -->
View ArticleIKULU YAKANUSHA KUHUSU RAIS KIKWETE KUONGEZEWA MUDA WA KUKAA MADARAKANI
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa “amenasa taarifa za siri za kuwepo kwa mipango ya kuongeza...
View ArticleMWANA FA AVUNA MILIONI 18 NDANI YA MIEZI MITATU KWENYE RINGBACK TONE
Kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe ambaye leo ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya kuuza miito ya simu aka RBT yanayofikia shilingi...
View ArticleAUNT LULU AAMUA KUACHANA NA MASHOGA
<!-- adsense --> MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amepigwa ‘stop’ kutembea na marafiki wanaodaiwa kuwa ni wanaume wenye vitendo vya kike ‘Kuku Watamu’. Akizungumza na...
View Article"NATAKA GODBLESS LEMA AJE AJISAFISHE HUKU LONDON KAMA KWELI HAKUBAKA".......
Ndugu zanguni,Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.Mimi kama rafiki wa zamani wa Lema nimeamua kujitolea...
View ArticlePOLISI MTWARA IMETOA ONYO KALI KWA WANANCHI KUHUSU VURUGU WALIZOPANGA KUFANYA...
Kupitia safari redio mtwara,Kamanda wa polisi mkoani Mtwara alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa maendeleo ya watu wa...
View ArticleMAHAKAMA YA IRINGA YAKANUSHA POLISI KUMSHIKILIA MLINZI WAKE KWA KUIBA BANGI
MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa imepinga vikali taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Iringa (RPC) Michael Kamuhanda aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari kuwa inamshikilia mtumishi wa...
View ArticleMAELEZO YA WIZARA JUU YA KAULI YA DR. MWINYI KUHUSU DAWA BANDIA ZA UKIMWI (...
Tarehe 9 Mei, 2013, Mhe. Dkt. Hussein A. Mwinyi (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya Wizara alitolea ufafanuzi suala la dawa bandia ya ARV kufuatia hoja...
View ArticleMSANII WA CAMP MULLA ALIYEWAHI PIGA CHAFU ATIMULIWA NDANI YA KUNDI HILO
Habari zilizosambaa katika mitaa ya area code +254 zinadai kuwa kundi la hip hop lenye mafanikio makubwa nchini Kenya, Camp Mulla limempiga chini first lady na lead singer wa kundi hilo, Miss Karun...
View ArticleMSIGWA AGOMA KUMUOMBA RADHI KINANA NA BADALA YAKE AMEMSHAURI AENDE MAHAKAMANI...
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amemtaka katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bw Kinana kutosubiri muda wa siku 21 alizozitoa kumfikisha mahakamani na kudai kuwa...
View ArticleDIAMOND ATOA SABABU ZINAZOMFANYA AWE MALAYA......
KWA mara ya kwanza nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' ameacha gumzo London, Uingereza baada ya kueleza sababu za kwa nini ni kiwembe? Akifunguka katika mahojiano maalum wiki iliyopita na...
View Article"SIJAWAHI MVULIA NGUO MWANA FA"...HUSNA
MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai kwamba katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’. Husna aliyasema hayo Mei 15...
View ArticleTID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE
Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo. Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show...
View ArticleASHLEY TOTO NI MREMBO ANAYETAKA KUKUPA KUKUPA MOYO WAKE......
Ashley Toto ni mwanadada msanii na mrembo ambaye anaishi Germany kwa sasa .... Ashley yupo Germany kwa ajili ya kuutangaza utamaduni wa mwafrika halisi kupitia fani ya maigizo.... Mrembo...
View ArticleUNYAMA: POLISI AMCHARANGA MAPANGA MWANAE WA MIAKA 4 KISA KIKIWA NI WIVU WA...
MTOTO WA MIAKA 4 DEVOTHA GERLAD ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE,HAPA AKIWA HOSPITALI KWA HUDUMA AYA KWANZA. WANANCHI WAKIWA NJE YA HOSPITALI YA WILAYA WAKIWA NA SHAUKU YA KUMUONA MTUHUMIWA. KINA MAMA...
View ArticleCD ZA UAMSHO NA ZILE ZA SHEIKH ILUNGA ZAPIGWA MARUFUKU....
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na Makamu wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi CD zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD...
View Article