MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai kwamba
katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii wa muziki wa Kizazi
Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’.
Husna aliyasema hayo Mei 15 mwaka huu baada ya kuvumishiwa kuwa
anatoka kimapenzi na staa huyo na kwamba, kwa sasa hakuna kificho
chochote kwani hadi picha zinazowaonyesha ukaribu wao zimezagaa kwenye
mtandao.
↧