KWA mara ya kwanza nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'
ameacha gumzo London, Uingereza baada ya kueleza sababu za kwa nini ni
kiwembe?
Akifunguka katika mahojiano maalum wiki iliyopita na Kipindi cha
Sporah Show cha runingani alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini
humo, Diamond alizungumza ishu kibao za kimapenzi hasa juu ya msururu wa
wanawake ambao tayari ametoka nao.
↧