Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amemtaka katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bw Kinana kutosubiri muda wa siku 21 alizozitoa kumfikisha mahakamani na kudai kuwa yupo tayari kwenda mahakamani hata kesho.
Mbunge Msigwa amesema kuwa katika ukweli hatakuwa tayari kumwogopa mtu na kuwa siku zote atasimama katika ukweli katika kupigania maslahi ya
↧
MSIGWA AGOMA KUMUOMBA RADHI KINANA NA BADALA YAKE AMEMSHAURI AENDE MAHAKAMANI KAMA ANADHANI ALIONEWA
↧