Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo
baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.
Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show
unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi
wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady
↧