MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa
imepinga vikali taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Iringa (RPC)
Michael Kamuhanda aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari kuwa
inamshikilia mtumishi wa mahakama hiyo kwa kuiba bangi iliyofikishwa
mahakamani hapo kama kielelezo."Taarifa ya kamanda wa polisi
kuwa bangi imeibiwa mahakamani si ya kweli na imelenga kuichafua
mahakama. Mahakama
↧