Tarehe
9 Mei, 2013, Mhe. Dkt. Hussein A. Mwinyi (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi
wa Jamii, katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya Wizara alitolea ufafanuzi
suala la dawa bandia ya ARV kufuatia hoja zilizokuwa zimetolewa na Mhe.
Zarina S. Madabida (Mb) kuhusu kuhusika kwa kiwanda cha dawa
chaTanzania Pharmaceutical Industries Ltd (TPI) katika sakata la dawa
bandia ya ARV.Baada ya
↧