Kupitia safari redio mtwara,Kamanda wa polisi mkoani Mtwara alisikika akitoa tahadhari kwa
wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia
ya serikali kwa maendeleo ya watu wa kusini...
Licha ya serikali kutumia gharama nyingi kuendesha kipindi cha BARAGUMU
LA MSIMBATI kupitia kituo chake cha habari cha TBC ambacho katika
kipindi hiki ni kama nyenzo ya kutoa elimu
↧