*Yakatazwa shuleni, watoto chini ya miaka 12*Sasa yabainika kuwa ina sumu inayoua taratibu*Yagundulika kupumbaza na kusababisha uteja
SIKU
chache baada ya gazeti la Mtanzania kuripoti madhara yanayosababishwa na
kinywaji aina ya soda, katika utafiti wake gazeti hilo limebaini mengine
mapya.
Kwa mujibu wa utafiti huo, imebainika kuwa soda imepigwa marufuku
kutumiwa na watoto
↧