WABUNGE
wa CCM, jana walizua tafrani nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya
kukasirishwa na kitendo cha mwenzao wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy
kupinga Bajeti ya Wizara ya Ujenzi wakati akichangia hotuba ya wizara
hiyo.
Katika
mchango wake, Keisy alisema haungi mkono hoja kwa sababu Barabara ya
Sumbawanga hadi Kanazi-Mpanda mpaka Kibaoni haijajengwa
↧