Mwenyekiti
wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa “amenasa
taarifa za siri za kuwepo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya
sasa kukaa madarakani”.
Katika habari hiyo iliyoandikwa chini ya kichwa cha habari, “Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda” Mheshimiwa Lipumba anadai kuwa Serikali ya
↧