MLINZI WA BAR ACHINJWA KIKATILI NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO
Mlinzi wa baa ya Darajani Stop Over iliyo kando kando ya barabara kuu ya Morogoro Dar es salaam jirani na daraja la Mzambarauni Bw Mika Athumani amechinjwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. Habari...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUWACHUKULIA HATUA KALI VIONGOZI WA WIZARA YA ELIMU...
Mizengo Pinda. Serikali imeahidi kuwajibisha watendaji watakaobainika kwenda kinyume katika uingizaji wa mfumo mpya wa usahihishaji mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012, ambao matokeo yake yamefutwa....
View Article"NIMEAMUA KUTOA PICHA ZANGU ZA NUSU UCHI ILI NIMUONESHE LOVENESS DIVA KWAMBA...
Mrembo wa kenya anayedai kuporwa mume na loveness Diva wa clouds Fm ameamua kuachia picha zake za laana kwa lengo la kuonesha ubabe wake wa Diva..... Huddah anamtaka DIVA naye...
View Article"TAFUTA HELA MBWA WEWE....HATA HELA YA SIGARA HUWA UNAOMBA CLUB"..HAYA NI...
TID a.k.a MNYAMA leo amejikuta akiambulia matusi ya nguoni baada ya kuitosa show ya Lady Jaydee na kuandika chenga zake katika Account yake ya Facebook.... Hizi ni comment za hao...
View ArticlePICHA ZA NUSU UCHI ZA KUNDI LA "ZE KOMEDI' ZAVUJA'.....HII NI ZAIDI YA AIBU
Picha za aibu zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ...... Happy kabla hajavua nguo.... == Mtandao huu umefanikiwa...
View ArticleWANAWAKE JIJINI MBEYA WAMVAA MCHUMBA WA DR. SLAA BAADA YA KUMKASHIFU MKE WA...
UMOJA wa wanawake wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya(UWT) umemshukia Bi.Josephine Mushumbusi ambaye ni mchumba Katibu Mkuu wa chama chaDemokrasia na maendeleo CHADEMA kufuatia kauli za udhalilishaji...
View ArticleHAYA NDO MAJINA YA WANAFUNZI WA CBE NA UDSM WALIONASWA WAKIJIUZA ( MAKAHABA)
Wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM],Chuo cha elimu ya biashara [CBE]na chuo cha mamlaka ya Elimu na ufundi stadi [VETA],Dar es salaam ,wamefikishwa katika mahakama ya jiji samora...
View ArticleBAADA YA KUWEPO HOFU YA MAANDAMANO, MJI WA MTWARA WATAWALIWA NA UKIMYAA,...
Hakukuwa na hali yeyote ya uvunjifu wa amani Ulinzi umeimarishwa kila kona Hali ya usalama ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ni tete. Soko Kuu, kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu...
View ArticleELIMU YA SHULE ZA MSINGI ITAKUWA NI MIAKA 10 BADALA YA 7
RASIMU ya Sera ya Elimu na Mafunzo nchini inapendekeza kuunganisha elimu ya msingi na sekondari ya kawaida ya sasa ili kuunda elimu-msingi itakayotolewa kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2018,...
View ArticleMTOTO ALIYEPIGWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA
Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana... Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye...
View ArticleHOFU YATANDA BUNGENI KUTOKANA NA TETESI ZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI DODOMA
Hali ya wasiwasi imelikumba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwepo kwa tetesi ya shambulio la kigaidi katika maeneo ya Bunge. Hali hiyo inafuatia ujumbe mfupi wa maneno uliosambazwa,...
View ArticleAIBU: MCHUNGAJI NA WANAKWAYA WATWANGANA NGUMI KANISANI
KATIKA hali isiyo ya kawaida, ugomvi mkubwa umetokea kwenye Kanisa la AICT, kati ya baadhi ya wanakwaya wa kanisa hilo linalofahamika kwa jina la “Bupandwa” na mchungaji wao Petro Masule. Tukio hilo la...
View ArticleYANGA YAICHAPA SIMBA 2-0, VURUGU ZATOKEA UWANJANI REFA APIGWA
Shabiki wa Yanga ambaye jina lake halijapatikana alikatwa kidole baada ya jazba kati ya washabiki wa timu za Yanga na Simba zilizopelekea Mashabiki hao kuchapana makonde leo kabla ya mechi kuanza.Tukio...
View Article"MIMI SIYO MSAGAJI....NIPO TAYARI KUWATAJA WANAUME NILIOLALA NAO"...HALIMA MDEE
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Hii ndo...
View ArticleHUYU NDO MBUGE ALIYEDONDOKA JANA BUNGENI
MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mwanamrisho Taratibu Abama jana asubuhi aliugua na kuanguka ghafla katika viwanja vya Bunge na kukimbizwa hospitali.......
View ArticleMR. NICE AURUDIA TENA "UKICHECHE" ULIOMFANYA AFILISIKE
Hakika Tabia ni ngozi.... Ni vigumu kuamini, lakini ukweli ni kwamba Mr.Nice ameirudia tena ile tabia yake ya Ukicheche na kuwapanga wanawake mithiri ya vyombo kabatini iliyomfanya...
View ArticleMMILIKI WA JAMIIFORUMS NA NDUGU ZAKE WAPATA AJALI MBAYA
Mmoja wa waanzilishi na wamiliki wa Jamii Forums, Maxence Melo, amepata ajali ya gari katika barabara kuu iendayo Mwanza; kilometa chache kutoka Nzega mjini. Mwanzilishi mwenzie na msemaji wa...
View Article"WANAOCHOCHEA VURUGU ZA KIDINI NI WATU WALIOTUMWA NA MATAIFA YA NJE"........
Rais Jakaya Kikwete amebainisha kuwa vurugu za kidini na kisiasa zinazotokea nchini, zina uhusiano na watu wa nchi za nje. Kikwete alitoa kauli hiyo jana kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu kwa...
View ArticleMBUNGE WA IRINGA AWAONGOZA WANANCHI KUFANYA VURUGU
Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa (CHADEMA) hivi sasa anaongoza vurugu za machinga Iringa Mjini eneo la mashine tatu.... Polisi mkoani Iringa wanapambana nao kuidhibiti hali hiyo....Chanzo: Wapo...
View ArticleMBUNGE WA IRINGA ( PETER MSIGWA ) ATIWA MBARONI BAADA YA KUONGOZA WANANCHI...
mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu Machinga wakisukuma gari ya...
View Article