Kupitia
season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee
jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa
anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
Hii ndo kauli yake:"Unajua huwezi kuzuia watu
kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka
kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia
alipotoka,
↧