Shabiki
wa Yanga ambaye jina lake halijapatikana alikatwa kidole baada
ya jazba kati ya washabiki wa timu za Yanga na Simba zilizopelekea
Mashabiki hao kuchapana makonde leo kabla ya mechi kuanza.Tukio hilo
lilitokea katika eneo la Mwembe Yanga.
Timu ya Yanga imeonyesha ubingwa kwa kuichapa timu ya Simba mabao 2
kwa 0 huku vituko na vioja vingi vikijili uwanjana ikiwepo kichapo kwa
↧