MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Mwanamrisho Taratibu Abama jana asubuhi aliugua na kuanguka ghafla katika viwanja
vya Bunge na kukimbizwa hospitali....
Tukio hilo lilitokea wakati akienda kuhudhuria
semina ya wabunge kuhusu Rasimu ya Sera ya Gesi Asilia kabla ya kukosa nguvu na kudondoka na kisha kusaidiwa na wenzake kumkimbiza kwenye
↧