Hakika Tabia ni ngozi....
Ni vigumu kuamini, lakini ukweli ni kwamba Mr.Nice ameirudia tena ile tabia yake ya Ukicheche na kuwapanga wanawake mithiri ya vyombo kabatini iliyomfanya afulie na hatimaye kuwa omba omba.....
Taarifa toka nchini Kenya ambako kwa sasa msanii huyo yupo huko ni kwamba, Mr. Nice kwa sasa alala baa akiwa amezungukwa na
↧