Mlinzi wa baa ya Darajani Stop Over iliyo kando kando ya barabara kuu
ya Morogoro Dar es salaam jirani na daraja la Mzambarauni
Bw Mika Athumani amechinjwa na majambazi usiku wa kuamkia leo.
Habari
zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba majambazi hayo yalivamia baa hiyo iliyojitenga usiku wa manane na kumvamia mlinzi huyo
na kumchinka kama kuku na baadae kuvunja baa hiyo
↧