Mizengo Pinda.
Serikali
imeahidi kuwajibisha watendaji watakaobainika kwenda kinyume katika
uingizaji wa mfumo mpya wa usahihishaji mtihani wa Kidato cha Nne mwaka
2012, ambao matokeo yake yamefutwa.
Akijibu
swali la papo kwa hapo la Mbunge wa Viti Maalumu, Magdalena Sakaya
(CUF), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema kinachosubiriwa sasa, ni
maelezo ya kina ya Tume ya Taifa
↧