MWANAMKE ANYOFOLEWA NYETI ZAKE KWA MADAI YA KULALA NA WAUME ZA WATU...
Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke).... Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa...
View ArticlePICHA: MBUNGE MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani leo Watuhumiwa wengine wa vurugu za...
View ArticleMAHAKAMA YAMWACHIA HURU MSIGWA KWA DHAMANA.....
WATUHUMIWA 60 wa vurugu kati ya machinga na polisi mjini Iringa akiwemo Mbunge wa Jimbo hilo, Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa wanafanyiwa utaratibu wa dhamana baada ya mahakama kukubali...
View ArticleAFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu...
View ArticleSPIKA WA BUNGE AAMURU KUFUTWA KWA HOTUBA YA SUGU ILIYOSABABISHA BUNGE...
Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh Anne Makinda, ameamuru kambi ya upinzani kuyaondoa maneno yote yaliyomo kuanzia ukurasa wa kwanza mpaka wa 14 katika hotuba rasmi ya Kambi ya...
View ArticleBIASHARA YA NGONO YASHIKA KASI DODOMA.....MAKAHABA WA DAR NAO WAPIGA KAMBI
BIASHARA ya ngono katika mji wa Dodoma imeshika kasi kubwa ambapo imebainika kuwa wateja wakubwa ni watumishi wa serikali, wanasiasa na madereva. Uchunguzi wetu umebaini kuwa katika biashara hiyo kuna...
View ArticleWATU SITA WANASWA WAKISHOOT VIDEO YA NGONO....
Watu sita mjini Nakuru Kenya wametiwa nguvuni baada ya kunaswa wakipiga picha za uchi kwa ajili ya filamu yao ya ngono..... Tukio hili limetokea ikiwa ni siku chache tu baada ya kundi...
View ArticleRAIS KIKWETE AMWAGIA SIFA LOWASSA......AMEDAI KWAMBA LOWASSA NI "JEMBE"
Rais Jakaya Kikwete amemwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hatua ambayo inaweza kutafsiri mengi katika medani ya siasa nchini. Akizungumza na wabunge wa CCM kwenye Ukumbi wa White...
View Article" MATOKEO YA KIDATO CHA SITA".....SIFURI KIBAO ZAFUTWA KIMYA KIMYA
MPANGILIO wa alama mpya za kufaulu kwa wahitimu wa kidato cha sita waliohitimu mwaka jana, ambao matokeo ya mitihani yao yanaweza kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa, unadaiwa kuzua aibu na kama si...
View ArticleHII NDIO KUMBUKUMBU YA MIAKA 17 YA AJARI YA MELI YA MV BUKOBA ILIYOZAMA...
Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uhokoaji MV Bukoba ikiwa inazama ilikuwa ni tarehe 21 mei 1996 Makaburi ya Igoma ambako ndugu zetu...
View ArticlePROFESA JAY AJIUNGA NA CHADEMA TAYARI KWA KUENDELEZA MAPAMBANO YA KISIASA...
Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph...
View ArticleTUKICHOKA KUHUBIRI AMANI, BASI TUJIANDAE KUCHIMBIANA MAKABURI
Ndugu zangu, Naiona hatari kubwa nyingine inakuja mbele yetu. Ni haya makundi mawili; MaBodaboda na MaMachinga. Hofu yangu kuna wanasiasa wachache wanaowaona vijana hawa, katika matatizo yao ya...
View ArticleUJIO WA RAIS OBAMA NCHINI TANZANIA
Rais wa Marekani Bw. Baraka Obama na Mkewe wanatarajia kufanya ziara ya nchi tatu barani Afrika itakayojumuisha nchi za Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania, Kuanzia tarehe 26 Juni hadi tarehe 3...
View ArticleBABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI....
Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka...
View ArticleWASANII WATAKAOTUMBUIZA KATIKA SHOW YA UFUNGUZI WA BIG BROTHER WATAJWA
Show ya ufunguzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa itafanyika Jumapili hii, May 26 nchini Afrika Kusini. Usiku huo utawaonesha washiriki wote 28 watakaoanza safari ya miezi mitatu ya...
View ArticleTUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WACHAPANE MAKOFI BUNGENI
Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.Mtafaruku huo uliibuka baada...
View ArticleGODBLESS LEMA AUMBUKA....VODACOM WADAI KWAMBA ULE UJUMBE WA VITISHO HAUKUTOKA...
KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, amedai kuwa uchunguzi wa awali kuhusu ujumbe unaodaiwa kutumwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, umetumwa na mtandao wa simu wa nje ya...
View Article"WASANII WANAOVAA VIMINI KWENYE FILAMU HUWA WANAJIUZA"....MWAKIFAMBA
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema wasanii wanaovaa mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini kwenye sinema wanajiuza.Mwakifwamba aliyasema hayo katika mahojiano na...
View ArticleVIDEO YA MKENYA ANAYELIA BAADA YA OBAMA KUPANGA KUJA TANZANIA NA KUIKACHA KENYA
Rais wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle mwezi ujao atakuwa na ziara katika nchi tatu za Afrika zikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Senegal. Ziara hiyo itaanza June 26 – July 3. Hata hivyo...
View ArticleKAKA NA DADA WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA KATIKA MAPANGO YA UFUKWE WA COCO
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi Imefahamika kwamba...
View Article