Rais wa Marekani Bw. Baraka Obama na Mkewe wanatarajia kufanya ziara ya
nchi tatu barani Afrika itakayojumuisha nchi za Senegal, Afrika ya
Kusini na Tanzania, Kuanzia tarehe 26 Juni hadi tarehe 3 Julai.
Katika
ziara yake hiyo, Rais atawekea mkazo umuhimu ambao Marekani inauweka
katika ushirikiano wetu wa kina na unaoendelea kuimarika na nchi za
Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara
↧