Ndugu zangu, Naiona hatari kubwa nyingine inakuja mbele yetu. Ni
haya makundi mawili; MaBodaboda na MaMachinga.
Hofu yangu kuna
wanasiasa wachache wanaowaona vijana hawa, katika matatizo yao ya
kiuchumi, kuwa ni mtaji wa kisiasa. Na kimsingi wanawageuza kuwa ‘ Shuka
za Kisiasa’. Na hapa ni wanasiasa wa vyama vyote.
Hatari yake? Viongozi wasipokuwa makini, wakaacha kutanguliza
↧