UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni.
Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye
undugu wa damu wakifanya mapenzi kando ya Ufukwe wa Bahari ya
Hindi
Imefahamika
kwamba vijana hao, kaka na dada wamenaswa ‘wakingonoka
katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa saa 9 na
↧