Hali ni tete na hakuna amani, mabomu ya machozi yanarindima muda
huu na huduma zote za kijamii zimefunngwa hakuna usafiri, masoko, maduka
na bar zote zimefungwa, daladala, Taxi na Bodaboda hazifanyi kazi.
Kwa
ujumla kinachoendelea ni mapambano makali kati ya Jeshi la polisi na
wananchi wenye hasira wanaopinga vikali kuendelea kwa mchakato wa gesi
ilihali nchi ikiwa haina sera
↧