Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI NI MBAYA MKOANI MTWARA....MABOMU NA RISASI VIMETAWALA, HUDUMA ZA KIJAMII...

Hali ni tete na hakuna amani, mabomu ya machozi yanarindima muda huu na huduma zote za kijamii zimefunngwa hakuna usafiri, masoko, maduka na bar zote zimefungwa, daladala, Taxi na Bodaboda hazifanyi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA YA MWANDISHI WA HABARI WA TBC YACHOMWA MOTO HUKU MABOMU YAKIRINDIMA...

Hali imezidi kuwa mbaya katika Mji wa Mtwara na hivi punde watu wanaendelea kufanya uharibifu katika maeneo mbalimbali ya mji huo. Jengo moja ambalo linadaiwa kumilikuwa na CCM limechomwa moto katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNDI LA CAMP MULLA LAZIDI KUPASUKA....

Hivi karibuni tuliandika habari kuhusu kundi linaloundwa na vijana wanne wenye vipaji kutoka Kenya linalofahamika kama Camp Mulla kumpoteza member mmoja ambaye ndio aliyekuwa msichana pekee katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZA MTWARA ZASABABISHA BUNGE LIAHIRISHWE....

Spika wa bunge , Anne Makinda ameahirisha Bunge kutokana na hali ya Mtwara na ameiagiza serikali kuwa kesho wawasilishe taarifa bungeni kuhusiana na hali hiyo. Makinda ameitisha kamati ya uongozi ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKICHECHE WAMFANYA MR. NICE AZOMEWE NCHINI KENYA

Mtandao wa ghafla kutoka Kenya umeripoti kuwa, msanii Mr Nice, amejikuta akizomewa na umati wa watu waliokuwa katika Club moja inayoitwa I club, ambapo wachekeshaji Fred Omondi na Mc Antonio hufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA TRENI

Mwanafunzi  wa chuo kikuu cha Dodoma  anayejulikana  kwa jina  la Boid Mwakitalima  amefariki dunia  baada  kugongwa na treni....Mwanafunzi huyo  alikuwa  mwaka  wa  tatu. Taarifa zinaeleza  kuwa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: RIPOTI YA ITV KUHUSU VURUGU ZA WANANCHI WA MTWARA ZILIZOSABABISHA WATU...

Mtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya Mtwara vijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZA MTWARA ZAUA WANAJESHI WANNE NA KUJERUHI 20

Katika tukio lingine askari wanne wa jeshi la wananchi kikosi cha 41 KJ wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari lao kupinduka eneo la Kilimani hewa Nachingwea njiani kuelekea Mtwara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: HII NI VIDEO YA MAPIGANO MAKALI KATI YA WAASI WA M23 NA JESHI LA...

Waasi wa M23 wamepambana na wanajeshi wa serikali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC siku moja kabla ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kuwasili katika eneo hilo. Mapigano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RASLIMALI ZA NCHI NI MALI YA TAIFA ZIMA....WALIOANDAMANA HUKO MTWARA...

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewaonya watu wanaosababisha uvunjifu wa amani nchini humo kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.   Onyo hilo linafuatia ghasia ambapo ofisi kadha, maduka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA MASHITAKA NCHINI ATAKA LWAKATARE ASHITAKIWE KWA UGAIDI TENA

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amewasilisha ombi katika Mahakama ya Rufaa nchini, akiomba itengue uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wa kumfutia mashitaka matatu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI

Sheha wa Tumondo Mohamed Omary Said,amemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana na hivyo kupata maumivu makali sehemu yake ya kifua na jicho kuumia pia. Sheha huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mnazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO YA MTANGAZI ALIYAEAMUA KUNYONYA MATITI YA MWANAMKE LIVE WAKATI WA...

  Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LAAHIRISHWA TENA LEO MPAKA UFUMBUZI WA GESI MTWARA UTAKAPOJULIKANA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Anna Makinda ameliahirisha tena bunge leo asubuhi ili kupisha kamati ya uongozi ya Bunge iendelee kukutana ili kutoa maamuzi na tamko kuhusu vurugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI YAVAMIA GARI NA KUPORA MAMILIONI JIJINI DAR LEO SAA TANO ASUBUHI

 Pichani ndio matundu ya risasi zilivyorindima kwenye kioo cha dereva (risasi tatu) ,mara majambazi hayo kufanikiwa kumjeruhi dereva sehemu ya bega na kufanikiwa kunyakua begi linalosadikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI ALIYENASWA NA MAGUNIA 18 YA BANGI HUKO HIMO AWATOROKA POLISI

ASKARI Polisi Koplo Edward, anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya (bangi) gunia 18 huko Himo, Kilimanjaro tarehe 18, Mei 2013, ametoroka chini ya ulinzi wa askari polisi saba na kutokomea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI AJINYONGA NA KUFA NDANI YA GESTI HUKO MOROGORO

DAKTARI wa meno Anorld Rimo (umri wa miaka kati ya 30 hadi 40) wa hospitali ya Sabasaba manispaa ya Morogoro, amekutwa amejinyonga katika nyumba ya kulala wageni ya Camel iliopo Kihonda. Kamanda wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATANGAZA VITA KUHUSU VURUGU ZA MTWARA.....AMESEMA SERIKALI YAKE...

WAKATI hali ikizidi kuwa tetea Mkaoni Mtwara kufutia Mapigano yaliyoanza jana Mkoani humo Rais Kikwete amevunja ukimwa wake na kutoa amri  wahusika wakuu wa tukio hilo kusakwa mara moja. Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA USIKU

\ Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI BADO NI MBAYA MTWARA....WANAFUNZI WAWILI WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA...

Mwandishi wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi ya wananchi wa eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>