MKURUGENZI wa
Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amewasilisha ombi katika Mahakama
ya Rufaa nchini, akiomba itengue uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam wa kumfutia mashitaka matatu ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na
Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred
Lwakatare na Ludovick Joseph.
Dk. Feleshi aliwasilisha ombi hilo juzi kwa njia ya maandishi,
↧