Sheha
wa Tumondo Mohamed Omary Said,amemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana
na hivyo kupata maumivu makali sehemu yake ya kifua na jicho kuumia
pia. Sheha huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja mjini Unguja ambapo alipatiwa matibabu ya dharura.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema
chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana
↧