ASKARI
Polisi Koplo Edward, anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya (bangi)
gunia 18 huko Himo, Kilimanjaro tarehe 18, Mei 2013, ametoroka chini ya
ulinzi wa askari polisi saba na kutokomea kusikojulikana.Mtuhumiwa
huyo alikuwa dereva wa gari aina ya Toyota Landcruiser namba PT. 2025
la Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Arusha.
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Arusha, Liberatus
↧