Mwandishi
wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi ya wananchi wa
eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya Mkoa wa
Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na vurugu za kuchomwa kwa
nyumba zao pamoja na vibanda vya biashara zilizotokea leo asubuhi katika
eneo hilo..
Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari
magereza .
↧