Waasi wa M23 wamepambana na wanajeshi wa serikali mashariki mwa Jamhuri
ya Kidemokrasi ya Congo-DRC siku moja kabla ya Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa Ban Ki-Moon kuwasili katika eneo hilo.
Mapigano ya Jumatano nje ya mji wa Goma yanakuwa siku ya tatu mfululizo
ya mapambano kati ya jeshi la Congo na kundi la uasi la M23.
Mashahidi wanasema mzunguko mmoja wa kombora ulitua katika eneo la
↧