Katika tukio lingine askari wanne wa jeshi la
wananchi kikosi cha 41 KJ wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa
baada ya gari lao kupinduka eneo la Kilimani hewa Nachingwea njiani
kuelekea Mtwara kuongezea nguvu jeshi la polisi kufuatia vurugu
zilizotokea mkoani humo<!-- adsense -->