Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh Anne Makinda,
ameamuru kambi ya upinzani kuyaondoa maneno yote yaliyomo kuanzia
ukurasa wa kwanza mpaka wa 14 katika hotuba rasmi ya Kambi ya upinzani
iliyosmwa na mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi ‘Sugu,’ ambaye
ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Mh. Makinda ametoa amri hiyo baada ya
↧