King
Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya
watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha
kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu anayoishabikia, Simba
kitendo kilichompelekea asuse kula toka Jumamosi.Akizungumza na
Suddy Brown katika segment maarufu ya U Heard kupitia XXL ya Clouds FM,
mke wa rapper huyo mkongwe Mama
↧