BIASHARA ya ngono katika mji wa Dodoma
imeshika kasi kubwa ambapo imebainika kuwa wateja wakubwa ni watumishi
wa serikali, wanasiasa na madereva.
Uchunguzi wetu umebaini kuwa katika biashara hiyo kuna
makundi mbalimbali yanayotofautiana kwa malipo ya biashara hiyo.
Wapo
wanafunzi wa vyuo vikuu na wanawake ambao wamedai kuwa wanalazimika
kufanya biashara hiyo kutokana na kubanwa na
↧