Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uhokoaji
MV Bukoba ikiwa inazama ilikuwa ni tarehe 21 mei 1996
Makaburi ya Igoma ambako ndugu zetu waliokuwa wakisafiri kwa meli ya MV Bukoba walizikwa.
RIPOTI
ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv
Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli
↧