Rais
Jakaya Kikwete amemwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
hatua ambayo inaweza kutafsiri mengi katika medani ya siasa nchini.
Akizungumza na wabunge wa CCM kwenye Ukumbi wa White House Dodoma juzi,
Rais Kikwete ambaye pia mwenyekiti wa chama hicho, alisema nguvu za
Lowassa pekee zinatosha kushinda uchaguzi mdogo wa kiti cha udiwani Kata
ya Makuyuni kilichoko wilayani
↧