RAIS
wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema
wasanii wanaovaa mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini kwenye sinema
wanajiuza.Mwakifwamba
aliyasema hayo katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga, jijini Dar
es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, akiwa ameongozana na msanii
Riyama Ally.
Kauli hiyo ya Mwakifwamba imekuja siku chache baada ya
sakata la
↧