Picha
za aibu zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja
ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......
Happy kabla hajavua nguo....
==
Mtandao huu umefanikiwa kuzipata picha hizi kutoka kwa msomaji wetu mpendwa ambaye kwa uzalendo wake ametutumia kwa njia ya email huku akielezea kwa kifupi kuhusu sakata hilo la aibu.....
↧