UMOJA
wa wanawake wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya(UWT) umemshukia
Bi.Josephine Mushumbusi ambaye ni mchumba Katibu Mkuu wa chama chaDemokrasia na maendeleo CHADEMA kufuatia kauli za udhalilishaji dhidiya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Hatua hiyo inatokana na kauli za kiudhalilishaji zilizotolewa mwishoni
mwa wiki na mchumba huyo wa Katibu Mkuu wa Chadema kuwa mama Kikwete
↧