Wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM],Chuo cha elimu
ya biashara [CBE]na chuo cha mamlaka ya Elimu na ufundi stadi
[VETA],Dar es salaam ,wamefikishwa katika mahakama ya jiji samora
wakidaiwa kufanya biashara ya kuuza mili yao.Washitakiwa
hao waliokamatwa katika eneo la kona Baa Ambiance Sinza wilayani
kinondoni ambao ni miongoni mwa wanawake 35 wanaodaiwa kufanya
↧