Hali ya wasiwasi imelikumba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, baada ya kuwepo kwa tetesi ya shambulio la kigaidi katika
maeneo ya Bunge.
Hali hiyo inafuatia ujumbe mfupi wa maneno
uliosambazwa, ukitaadharisha kuwa kuna tukio la kigaidi limepangwa
kufanywa katika eneo la Bunge.
Ujumbe huo uliosambazwa kwenye simu za baadhi ya wabunge ulisomeka
↧