CHUO Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) kimekanusha madai kwamba
wanafunzi wake ni makahaba wanaofanya vitendo vya ngono na mbwa.
Kwenye
barua ya kukana dai hilo iliyopelekwa kwenye vyombo vya habari baada ya
chuo hicho kutajwa kama chenye wanafunzi 11 waliokamatwa Nyali juzi kwa
kashfa ya ngono, chuo hicho kilisema kina mikakati mikali ya kufundisha
maadili.
“Tunapenda
↧