Wanafunzi
wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na
kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za
Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari
Manzese aliyeanguka na kuweweseka.
Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha
wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.
↧