BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46
iliyoongezwa katika nauli haitoshi.
Wamiliki hao wameyasema hayo ikiwa ni takriban
mwezi mmoja tangu kuanza kutumika kwa nauli mpya za usafiri wa barabara,
reli na kupandishwa kwa tozo za huduma za meli bandarini.
Hatua hiyo
ilichukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(SUMATRA), Aprili 3
↧