BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na
Spika Anne Makinda kuwa amembaka...
Katika uchunguzi wake, hivi karibuni ,Uwazi lilielezwa kuwa kuna habari ya kashfa nzito inayomtafuna mbunge
huyo anayetokea Kanda ya Kaskazini lakini haikufafanua kwamba inahusu
nini. Baada ya kutulia na kupekua kwenye vyanzo
↧