Upo
kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji
huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema
kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet
itakayomfurashia.
Not to fast though…… Sio tweet zile za ‘I’m having fun being single,
#TeamSingle, tupa kuleee!
Mengi anataka ulikune jicho lake kwa tweet
yenye akili ambayo
↧